Dolnad Trump Rais wa Kwanza wa Marekani Kuhudhuria Super Bowl 2025
Dolnad Trump Rais wa Kwanza wa Marekani Kuhudhuria Super Bowl 2025
Rais Donald Trump amekuwa rais wa kwanza
Marekani kuhudhuria Super Bowl akiwa madarakani.

Alikuwepo kwenye mchezO wa Super Bowl LIX kati ya Kansas City Chiefs na Philadelphia Eagles uliofanyika
katika Caesars Superdome, New Orleans. Trump aliwahi kuhudhuria Super Bowl mnamo 1992, lakini hii ndiyo mara yake ya kwanza kama rais aliyeko ofisini






