Kikwete- kwenye kamati ya Tuzo za Usalama wa Chakula Barani Afrika

Kamati ya Tuzo za Usalama wa Chakula Barani Afrika (African Food Prize Committee. AFP) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, jakayakikwete , jumatano Agosti 6 2025 imetembelea visitngorongoro baada ya kuhitimisha mkutano wa kamati hiyo uliofanyika Jijini Arusha Agosti 5 katika hoteli ya Gran Melia.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button