Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klop amethibitisha kuwa ataondoka Anfield mwishoni mwa msimu huuu .
Kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klop amethibitisha kuwa ataondoka Anfield mwishoni mwa msimu huuu .
Klop ametwaa 100 % kubwa ya Mataji kwa ngazi ya klabu akiwa na Liverpool
Klop amesema ;
“Nilizungumza na klabu tangu mwezi Novemba kuwa nitaondoka mwishoni mwa msimu huu 2023|24, nahisi kukosa nguvu ila huo ndio ukweli wangu”
Jurgen Klopp akiwa Liverpool
🏆 Champions League
🏆 Premier League
🏆 FA Cup
🏆 Carabao Cup
🏆 Super Cup
🏆 Club World Cup
🏆 Community Shield