Manchester united : Hakuna kilichobadilika kuhusu Jadon Sancho
Ten Hag: “Samahani, hakuna kilichobadilika kuhusu Jadon Sancho”.
“Hayupo, hatokuwa sehemu ya kikosi. Kwa hiyo sina maoni mengine yoyote juu ya hilo”.
Leo United wanashuka dimbani kuvaana na Brentford katika dimba la Old Trafford





