maonesho ya Wiki ya Vijana, viwanja wa Uhindini, jijini Mbeya leo Oktoba 14, 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na wadau wanaoshiriki katika eneo la maonesho ya Wiki ya Vijana, viwanja wa Uhindini, jijini Mbeya leo Oktoba 14, 2025.
Aidha, Maonesho hayo ya Wiki ya Vijana yalianza rasmi tarehe 8 Oktoba, 2025 na kuhitimishwa leo tarehe 14 Oktoba, 2025.






