Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button