Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Namibia kwa ajili ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob, tarehe 23 Februari, 2024. Shughuli za Mazishi za Rais huyo Hayati Dkt. Hage Geingob zitafanyika katika Jiji la Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button