Mr Beast ameahidi kugawa magari 26 aina ya Tesla kwenye kusherekea sikuku ya kuzaliwa kwake
Mwanamitandao #MrBeast ambaye ni maarufu kwenye mtandao wa YouTube, amefikisha umri wa miaka 26 na ameahidi kugawa magari 26 aina ya Tesla ambayo ameyanunua kwa ajili ya kuwapa mashabiki zake kwenye siku hii muhimu!







