Mradi wa Maji Mkoani Dodoma Tanki lenye Ujazo wa Lita Lakitano Linajengwa

NI Agosti 31, 2023 ambapo KAZI ya ufungaji wa tanki la chuma la kukusanyia maji lenye ukubwa wa lita laki tano katika Mradi wa Maji wa Nzuguni jijini Dodoma inayofanywa na Mkandarasi Help Desk, inaendelea.

Mradi huo umefikia asilimia 82 ambapo zaidi ya lita za maji milioni 7.6 zitazalishwa kwa siku, hivyo kuongeza asilimia 11 za upatikanaji maji katika Jiji la Dodoma na kuwanufaisha zaidi ya wakazi 75,968 kutoka maeneo ya Nzuguni, Swaswa, Ilazo na Kisasa.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button