Mwakinyo : Pambano lake Kizungumkuti 29/9/23
MWAKINYO AGOMA KUPANDA ULINGONI 29/9/23
Bondia wa ngumi za kulipwa, Hassan Mwakinyo amesema hajaridhika na kubadilishiwa mpinzani wa pambano lake la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental.
Rayton Okwiri na sasa atapigana na Julius Indongo kutoka Namibia, Mwakinyo amesema anataka kupigana na Okwiri ili iwe fundisho kwa mabondia wanaoomba kupambana naye,
Siku ya Kesho sitaweza kupanda Ulingoni kutokana na Uongo na Udanganyifu wa Mapromota, Binafsi saina tataizo na Mtu ila naheshimu sana kazi yangu na sipo tayari kuona watu wana nijaribu au kutaka kuharibu jina langu.”
Alosema Hassan Mwakinyo (Bondia)
ZA CHINI YA KAPETI: MWAKINYO vs MAFIA PROMOTION.
Hassan Mwakinyo na Promota MAFIA Pfomotion ni Bifu za kifamilia kuhamia kwenye kazi, Jua.
Mwakinyo na Promota Mafia wote ni wenyeji wa Tanga Makorora na kwa kipindi kirefu Wamekuwa na Mabifu baina ya Familia na Familia.
Inasemekana Mwakinyo amestukia mtego kuwa leo hii alipaswa apigwe tena kwa TKO ya mapema zaidi (Tetesi ila sijui itakuwaje).
Mwakinyo nae amegomea ili kumchafua Promota ambaye wanabifu za Familia kwa muda mrefu (hii nayo Tetesi pia) Mpaka sasa Je ipi sababu halisi ya Kugomea pambano
Kubadilishiwa Bondia
Dhuruma ya pesa
Bifu za Familia







