Paul Makonda, amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, leo Juni 30, 2025.

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, leo Juni 30, 2025.

Kenani, ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, alihamishwa na Rais Samia Juni 23, 2025 kuchukua nafasi ya Makonda, ambaye tayari amechukua fomu ya kuwania uteuzi wa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Arusha Mjini.

Hafla ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button