Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ndogo ya Tunguu
Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Ndogo ya Tunguu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, leo Januari 7, 2026.