Rais Samia Azindua Mradi wa Kutoka Ziwa Victoria Hadi Iramba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungulia maji baada ya kuzindua mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui katika hafla iliyofanyika kwenye Kiji cha Kizonzo, Wilaya ya Iramba mkoani Singida leo Jumanne Oktoba 17, 2023.





