Serikali ya Iran imethibitisha kifo cha Rais wake Ebrahim Raisi (kulia), Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian (kushoto) na maofisa wengine kadhaa waliofariki katika ajali ya helikopta Jumapili (usiku wa kuamkia leo).

BREAKING: Serikali ya Iran imethibitisha kifo cha Rais wake Ebrahim Raisi (kulia), Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na maofisa wengine kadhaa waliofariki katika ajali ya helikopta Jumapili (usiku wa kuamkia leo).

Ajali hiyo imetokea kaskazini-magharibi mwa Iran, kwenye mteremko wa kilima katika eneo la Varzaghan, karibu na mpaka wa Azerbaijan Mashariki.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, hali mbaya ya hewa imetajwa kama sababu ya kutokea kwa ajali hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button