Serikali Ya Spain Kufanya Uchunguzi Party ya Yamal

Serikali Ya Spain Kufanya Uchunguzi Party ya Yamal

Kituo cha Habari cha MailOnlineSports Kimeripoti kuwa Serikali ya Hispania imedai kufanyika kwa uchunguzi kuhusu sherehe ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mchekeshaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Spain, LamieYamal alipofikisha miaka 18, baada ya madai kuwa Watu wafupi kupita kiasi walinyanyapaliwa na Wanawake wenye Matiti Makubwa walilipwa ilo kuhudhuria kwenye party hiyo.

Mwanamitindo aitwaye ClaudioCalvo amedai kuwa nyota wa Barcelona, Yamal, alilipa wanawake 12 waliokuwa na matiti makubwa kuhudhuria sherehe hiyo.

Sasa serikali inataka faini kubwa itolewe na imeanzisha uchunguzi dhidi ya sherehe hiyo iliyokuwa na mandhari ya kimafia, kufuatia malalamiko kuhusu kuwepo kwa wageni waliolipwa wakiwemo watu wafupi.

Yamal alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na takribani watu 200, wakiwemo marafiki, familia na wachezaji wenzake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button