Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt.Tulia Ackson

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt.Tulia Ackson, ametoa wito kwa vyuo mbalimbali hapa nchini hususani vya sheria kubuni mifumo ya kisheria itakoyoweza kuwasaidia wananchi kuondokana na changamoto ya kisheria wanayokumbana nayo.

Dkt. Tulia ametoa wito huo leo tarehe 5 Juni, 2025 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa siku ya CARRIE iliyofanyika katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button