Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zunguamekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania, Mhe. Eunju AHN,
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania, Mhe. Eunju AHN, alipomtembelea katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam leo tarehe 16 Machi, 2026.






