Tetesi Feisal Salim anaenda Simba

 TETESI Taarifa zilizo tufikia Ni kwamba uongozi wa klab ya Simba Umeonuesha nia ya kuipata saini ya kiungo wa klab ya Azam Feisal Salim ‘feitoto’ ili kuongeza nguvu kwanye kikosi Chao.

Huku Ikifahamika kuwa Uongozi huo wa klabu Simba upo tayari kutoa zaidi ya Tsh. 600 Milioni ili kuioata saini ya kiungo huyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button