Ulega kuongoza mkutano wa kimataifa wa wataalamu wa uvivu kutoka nchini 20
ULEGA KUONGOZA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA UVUVI KUTOKA NCHINI 20:
Waziri Ulega kuongoza Wataalam kutoka nchi zaidi ya 20 katika mkutano wa Wataalam wa Uvuvi leo hii unaofanyika hapa katika Ukumbi wa mikutano wa JNICC, Postal, Dar es Salaam.
Mkutano wa Kimataifa wa Wataalam wa Uvuvi wa Baharini na Maji Baridi kutoka Nchi wanachama wa Umoja wa Africa, Caribbean na Pacific (OACPS)








