Waziri Mkuu amefunga mafunzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2024 amefunga mafunzo ya zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania na kuzindua mpango kazi wa taifa wa utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania

Katika hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amemwakilisha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu na kupokea cheti na mpango kazi wa taifa wa utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button