Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. mwigulunchemba akiwa na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. mwigulunchemba.(Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Salum Mkuya (Mb), wakiwa na Rais wa Benki ya Dunia, Bw. Ajay Banga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Tathimini ya Muda wa Kati wa Mzunguko wa 20 wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid-Term Review) unaohusisha wakopaji, nchi Wahisani na Menejimenti ya Benki ya Dunia, utakaofanyika Zanzibar, kuanzia Tarehe 6 hadi 8 Desemba, 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button