Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu amemteua Mhe. @jmakamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.