Yanga – HATUJAWAHI KUMFUATILIA KIBU DENIS, UNAMJUA AWESU ?
🎙️”Ni Awesu Awesu ndio Usajili Mwingine tunaohitaji ndani ya kikosi cha Young Africans,”
SWALI: Ibasemekana mmetuma ofa ya kumhitaji kibu Denis ? Kiongozi akajibu: Hakuna hitaji hilo ndani ya klab yetu, tuna sajili kwa mahitaji ya kocha na benchi lake, Anayemhitaji kocha basi lazima tupambane ili aje,
“Awesu ni bora sana kuliko Huyo uliyemtaja, Awesu ni Technician ujue, Ana haki ya kuvaa uzi wa Wananchi kabisa”
Alisema kiongozi huyo ambaye hakutaka jina litajwe….







