Mhe. Samia_Suluhu_Hassan na aliyewahi kuwa Mbunge Bw. Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia_Suluhu_Hassan akimsikiliza aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Bw. Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi leo Septemba 19, 2023.






