Mwanamama mwenye roho mbaya zaidi Duniani

Huyu mama anayekula Crips mahakamani anatajwa kuwa mmoja wa wanawake wenye roho mbaya zaidi duniani.

Rosemary Ndlovu, aliyekuwa askari Kusini, alipatikana na hatia ya kuua na ndugu zake watano (5) kisha akachukua fedha za bima zao za maisha jumla ya dola za kimarekani 93,000 kati ya mwaka 2012-2018 polisi huko Afrika
mpenzi wake pamoja.

Kabla ya kutekeleza mauaji hayo, Rose alikuwa anatengeneza ukaribu na ndugu husika kiasi cha
kujiandikisha kuwa mnufaika wa pesa za bima ya maisha endapo ndugu huyo atafariki. Ndugu walimuamini kwasababu alionekana kuwa ni polisi mwema.

Rose alinaswa baada ya kujaribu kumwajiri muuaji
kulipwa “hitman” ili awaue dada yake na watoto 5 wa dada yake kwa kuwachomna moto. Jamaa aliyepewa hiyo kazi akawaonea huruma hao watoto. Aliona ingawa yeye ana roho mbaya kutokana na kazi zake za kukodiwa..ila akagundua Rose ana roho nyeusi…giza kabisa.

Jamaa akaamua kumzunguka Rose na akaenda kuwataarifu polisi kuwa polisi mwenzao anaua ndugu zake na Mwaka 2021 Rosemary akahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button