Prezo Aanguka Ghafla na Kupoteza Fahamu
Prezo Aanguka Ghafla na Kupoteza Fahamu
Msanii wa Rap kutoka Kenya, CMB Prezzo alianguka ghafla na kupoteza fahamu wakati wa uzinduzi wa Reality TV Show ya Bahati jana ambapo DP Rigathi Gachagua na wageni wengine walionekana wakipamba kumsaidia msanii huyo baada ya tukio hilo kutokea.
Bado sababu ya kuanguka kwake haijulikani, na uongoziwa Prezo





