Raisi Felix Tshisekedi Awafukuza UN Congo
Raisi wa Jamuhuri ya watu wa Congo Felix Tshisekedi ameliomba Jeshi la watunza amani wa UN kuondoka hapo nchi baada ya kuwepo Congo zaidi ya Miaka 20 bila mafanikio yoyote
Vikundi mbali mbali vya waasi vimekuwa vikitawala sehemu mbali mbali za nchi hiyo ya Congo huku wakati mwingine wakiswashambulia na ku wauwa maelfu ya Raia kwa nia kuendeleza kumiliki sehemu zenye utajiri wa madini
Raia wengi wa Congo hawataki kuwaona watunza amani hao wa UN , wakati mwingine wa mandamano dhidi watunza amani haoo raia wengi hupoteza maisha
Raisi Tshisekedi amelihutubia mkutano wa UN Genaral Assembely 21/9/23 kwamba kuondoka kwa watunza amani hao katika mpango wa MONUSCO’s umeondowa mapighano kati ya wananchi na jeshi la kulinda amani






