Mwimbaji kinara wa Kundi la Morgan Heritage, Peter Morgan ‘Peetah’ amefariki dunia usiku wa jana Jumapili.

TANZIA: Mwimbaji kinara wa Kundi la Morgan Heritage, Peter Morgan ‘Peetah’ amefariki dunia usiku wa jana Jumapili. Familia ya Mwanamuziki huyo imethibitisha taarifa hizo japo hawajaweka sababu za Kifo chake.

Akiwa na ndugu zake katika kundi la Morgan Heritage, Peter aliwahi kushinda tuzo ya Grammy kupitia albamu yao ya Strictly Roots katika kipengele cha Albamu Bora ya Reggae mwaka 2016. Pia amewahi kufanya kazi na Diamond Platnumz lakini pia Harmonize.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button