Card B Adai Offset na Mama Yake Walimuibia.
Card B Adai Offset na Mama Yake Walimuibia.
Rapa CardiB amemshutumu Baba watoto wake 0ffset Na Mama yake Mzazi LatabiaWoodward kuwa walimuibia.
Kupitia mtandao wa X #CardiB alisema..
“Sikusikiliza baada ya wewe na mama yako kunibia, Ndiyo, wewe na mama yako mlinibia kabisa na nikawaambia muache kunichezea”
“Ulimpigia binti yako simu kwa mara ya kwanza mwaka huu jana. Mtoto wako mchanga. Unawapenda watoto wako sana na hukuwununulia kitu chochote kwa ajili ya Krismasi” alisema.
“Lakini ulikuja New York kuwanunulia watoto wako wengine zawadi. Lakini hukuwununulia watoto wangu chochote kwa makusudi ili kuniumiza. Kumbuka, tulikuwa sawa. Hatukuwa tukifanya mapenzi, lakini tulikuwa sawa. Acha kunichezea”






