Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrud Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo akimkabidhi tuzo Rehema Evans kutoka Azam Media ambaye ameshinda katika sekta ya uwekezaji.
Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu K. Kijaji akimkabidhi tuzo mshindi wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi anbaye ni Mussa Yusuph Mussa kutoka Gazeti la Uhuru.

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali @gersonmsigwa ni miongoni mwa viongozi ambao wamehudhuria tukio la @samiakalamuawards

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Waziri wa Madini Mhe Anthony Mavunde ni miongoni mwa viongozi ambao wamehudhuria tukio la @samiakalamuawards

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

#SamiaKalamuAwards2025  #UzalendoNdioUjanja

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe, @mohamed_mchengerwa akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dasmas Ndumbaro wakishiriki katika hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 iliyofanyika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Dkt Pindi Chana akimkabidhi tuzo mshindi wa Sekta ya MaliAsili na Utalii Inocent John kutoka Tumaini Radio.

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) @tulia.ackson katika tukio la @samiakalamuawards hapa Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam.

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button