Wachekeshaji kwenye Tuzo za chama cha waandishi habari wanawake Tanzania (Tamwa)

Mchekeshaji @eliudsamwel ni miongoni mwa wachekeshaji ambao waliwafanya watu kufurahia muda wote hapa Super Dome Masaki.

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

@laughs_on_leonardo katika tuzo za @samiakalamuawards

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

President wa Konde Gang @harmonize_tz katika tukio kubwa la @samiakalamuawards

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Mchekeshaji @saidsaidi._ ni miongoni mwa wachekeshaji ambao waliwafanya watu kufurahia muda wote hapa Super Dome Masaki.

Kumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi katika tukio hili kubwa la utoaji wa tuzo.

Tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button