Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, amesema licha ya uongozi mbaya nchini Nigeria, sekta ya burudani imeipa picha nzuri taifa hilo kimataifa.

Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Davido, amesema licha ya uongozi mbaya nchini Nigeria, sekta ya burudani imeipa picha nzuri taifa hilo kimataifa.

Akizungumza katika mahojiano na Apple Music, amesema “Nina furaha kwamba burudani imebadilisha mtazamo. Hatuna viongozi bora, tuna serikali mbaya zaidi, lakini burudani ndiyo kila kitu

xr:d:DAFj3corAVg:2,j:47865339356,t:23052421

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button