Wananchi Watakiwa Kufuta Whatsapp Iran.

Wananchi Watakiwa Kufuta Whatsapp Iran.

Kituo cha Runinga Cha Taifa cha Iran kimewataka wananchi kufuta WhatsApp kwenye simu zao kwani Kampuni ya Meta ambayo ndio inamiliki Whatsapp inashirikiana na serikali ya Israel kutoa taarifa za wananchi wa Iran na kuisaidia Israel kutekeleza mashambilizi yake.

Kwa upande wa Meta wamejibu kuwa tuhuma hizo si za kweli kwani Whatsapp inatumia Mfumo wa End to End encryption ambapo jumbe haziwezi kupita kwa mtu mwingine yeyote zaidi ya mtumaji na mpokeaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button