Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati wa Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mafunzo yamefanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button