Azam Fc wamfungia vioo Djuma Shaban
AZAM FC WAMFUNGIA VIOO DJUMA SHABAN.
Taarifa kutoka Visiwani Zanzibar ni kwamba kikosi cha Azam Kilichoenda Zanzibar kwa ajili ya Mapinduzi Cup jina la Mlinzi wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shaban halipo.
Mipango ya Klab ya Azam ni kuendelea kumtumia Lusajo Mwaikenda katika nafasi ya Ulinzi wa kulia huku Nafasi ya Mchezaji wa kigeni asajiliwe Mshambuliaji ambaye tayari imefahamika ameshatua Zanzibra tayari kwa kuwatumikia Azam Fc kwenye Michezo ya Mapinduzi Cup.







