Billion Elon Musk Astakiwa Kwa Malezi ya Watoto.
Bilionea Elon Musk amefunguliwa mashtaka na mzazi mwenzake, mwimbaji Claire Boucher (35) kuhusu haki za malezi kwa watoto wao watatu.
Claire, ambaye anajulikana pia kama Grimes, katika ujumbe wake mtandaoni ambao sasa umefutwa amewahi kumshutumu Musk kumzuia kumwona
mwanaye mmoja wa kiume






