Nyimbo 23 Kutoka Katika Album Mpya ya Drake.

Albamu mpya ya Drake ‘For All The
Dogs, inaingia Sokoni rasmi leo Jioni, Oktoba 6 ikiwa imejumuisha jumla ya nyimbo 23. Orodha hiyo ina wimbo mpya, “8 AM in Charlotte” ambao rapa
huyo uliotoka mapema wiki hii ikiwa pamoja na video yake.
Albamu hiyo iliyopangwa kutoka Septemba 22, lakini rapa huyo wa Canada alitangaza hakufanikiwa
kufanya hivyo mpaka leo hii.
Huku mtoto wake Adonis Graham akihusika kwenye kuandaa kava ya
albamu kwa kuichora.
1. Virginia Beach
2. Amen
3. Calling for You
4. Fear of Heights
5. Daylight
6. First Person Shooter
7. IDGAF
8. 7969 Santa
9. Slime You Out
10. Bahamas Promises
11. Tried Our Best
12. Screw the World (lnterlude)
13. Members Only
14. Drewa Picasso
15. What Would Pluto Do
16. All the Parties
17.8am in Charlotte
18. BBL Love (Interlude)
19. Gently
20. Rich Baby Daddy
21. Another Late Night
22. Away From Home
23. Polar Opposites





