CCM: Uimara wa Chama ni Vikao sasa Tunawapa Taarifa Rasmi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 – 29 Novemba, 2023 .
✅ Kuanza na Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kikiongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo.
✅ Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
✅ Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan SamiaWaWatanzania🇹🇿
✅ Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pia Kikiongozwa na Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan.






