Miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar huduma za umeme zimesambazwa katika vijiji 190 Unguja na Pemba
Kwa kipindi cha miaka Mitatu ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi huduma za umeme zimesambazwa katika vijiji 190 Unguja na Pemba sawa na asilimia 61 ya Vijiji 305 vilivyounganishwa umeme ambapo Uchukwani ni moja kati ya Vijiji hivyo.






