Chadema Watajwa Wawania Wenyekiti
Chadema Watajwa Wawania Wenyekiti
Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) katika kikao chake
kinachoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City leo Januari 20, 2025 limefanya uteuzi wa wagombea na nafasi mbalimbali za kitaifa.
Kwenye uteuzi huo katika upande wa uenyekiti, majina ya Freeman Mbowe, Odero Charles Odero na Tundu Liss yamemeteuliwa huku Ezekia Wenje, John Heche na Mathayo Gekul yakiteuliwa umakamu mwenyekiti.