DKT PHILIP MPANGO AKISALIMINA NA ASKOFU DICKSON CHILONGANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na aliyekuwa Mlezi wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa Askofu Dickson Chilongani wakati alipowasili katika Dayosisi hiyo kushiriki Ibada ya Kuwekwa Wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Mpwawa Kanisa la Anglikana Luzineth Kingamkono, Ibada iliofanyika Wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Tarehe 27 Agosti 2023.