MAFUNZO YA WAKUU WA ILAYA ZA MKOA WA PWANI
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge akiwa na Mjumbe wa NEC Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. @mohamed_mchengerwa pamoja na Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Pwani kabla ya hafla ya kufunga mafunzo ya Uongozi yaliyofanyika kwenye shule ya Uongozi Kibaha mkoani Pwani.
Mafunzo hayo yamefungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mapema leo hii.