Dkt. samia_suluhu_hassan leo Septemba 17, 2023 amewasili Ruangwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. samia_suluhu_hassan leo Septemba 17, 2023 amewasili Ruangwa kwa ziara ya kikazi wilayani humo. Rais Dkt. Samia amepokelewa na Waziri Mkuu KassimMajaliwa_ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na viongozi wa Serikali na Chama Tawala wilayani humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button