Donny Van de Beek atolewa kwa mkopo kwenda Eintracht
Timu ya Soka ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani imemsajili kiungo wa kati Mholanzi Donny van de Beek (26) kutoka Manchester United kwa mkopo, tayari kukipiga kwenye ligi ya Bundesliga kwa muda uliosalia msimu huu 2023/24.







