#Drake Awaomba Mashabiki Zake Wasirushe Sidiria Jukwaani Kwasababu Yupo na Mtoto Wake.

 

Rapa Drake Akiwa kwenye Show yake Jijini Los Angeles wikiendi hii aliwaambia mashabiki zake kutorusha sidilia zao jukwaani kvwani siku hiyo alikuwa na mtoto wake #Adonis

Kauli hii ya Drake imekuja kutokana na tabia ambazo wamekuwa nazo mashabiki wakike mbalimbali wakati wasanii wakiume wanatumbuiza wamekuwa wakivua sidilia zao na kuzirusha jukwaani.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button