HUSSEIN KAZI KWENDA COASTAL LAMECK LAWI KWENDA SIMBA 🦁.
HUSSEIN KAZI KWENDA COASTAL LAMECK LAWI KWENDA SIMBA 🦁.
🎙️Ipo Hivi !! Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Hussein Kazi inatajwa kuwa ni sehemu ya kukamilisha dili la Usajili la Mlinzi wa kati wa klab ya Coastal Union Lameck Lawi.
Simba imetoa Kiasi cha pesa + Hussein kazi ili kukamilisha dili hilo, Haikuwa rahisi kwa klab ya Coastal Union kutupilia mbali ofa za Vilabu vya Ihefu na Azam.