Mwigulunchemba (Mb), akizungumza katika kikao kifupi na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mapato ya Oman, Bw. Nasser Khamis Al-Jashmir, kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Oman na Tanzania

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), akizungumza katika kikao kifupi na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mapato ya Oman, Bw. Nasser Khamis Al-Jashmir, kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Oman na Tanzania katika eneo la kodi ili kurahisisha ufanyaji biashara kwa faida ya nchi hizo mbili. Mhe. Dkt. Nchemba yuko katika ziara ya kikazi Muscat nchini Oman. Mazungumzo hayo yalimshirikisha pia Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mhe. Fatma Rajab na Mkurugenzi Mtendaji wa Mipango na Sera za Kodi katika Mamlaka ya Kodi-Oman, Bw. Hamed Al-Hashmi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button