Trending

Ice Spice Ndiye Kinara Wa R&B/Hip-Hop Wa Mwaka Kwa Mujibu Wa Billboard.

Rapper wa kike Ice Spice ametajwa na Billboard kuwa yeye ndiye rapper kinara wa R&B/HIP-HOP wa mwaka 2023 kwakua ni rapper aliyechipukia na kuonyesha juhudi na kazi kubwa katika muziki wake na kukubaliwa kwa haraka sana na wapenzi wa muziki huo.

Licha ya hayo @icespice amefanikisha kuingia katika chat kubwa za muziki yaani Billboardhot100 kutengeneza ngoma zilizofika mbali na kuibua gumzo baada ya kushirikiana na wasanii wakubwa kama Taylor Swift ngoma ”karma” aliyoshirikishwa ngoma ya pili ni ya Nicki Minaj ”barbie world” pamoja na aliyofanya na Nick ”Princess Diana” 🎼πŸ”₯

Kupitia haya anastahili kuitwa ”Rookie Of the Year” kwa mujibu wa Billboard rapper huyu mwenye umri wa miaka 23 sasa anastahili sifa hizi.β€οΈπŸ“Œ Je wewe unakubaliana na haya !?

Kutoka katika Website ya Billboard Chapisho la Rapper Ice Spice.

Ice Spice Na Nick Minaj wameshirikiana kwenye ngoma mbili (Barbie World) & (Princess Diana).

Taylor Swift Alimshirikisha Ice Spice kwenye ngoma yake ya (Karma).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button