Jinsi Kapteni na Rais wa Mpito Ibrahim Traoré Alivopokelewa na Wananchi Akitokea Urusi.

Hivi ndivyo Kapteni na Rais wa mpito, Ibrahim Traoré alivyopokelewa na Wananchi huko Ouagadougou, Burkina Faso, baada ya kurejea nchini humo akitokea Urusi.

Mwanajeshi huyo mtata alimpindua boss wake, Paul-Henri Damiba, na kisha kutangazwa rasmi kuwa Rais wa mpito wa Taifa hilo lililopo
Afrika Magharibi.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button