Trending
Rapper Blueface Alivyo Mzawadia Baby Mama Wake Gari Aina Ya G-wagon.
Rapper Blueface amemshangaza Baby mama wake ”Jaidyn Alexis” kwa kumzawadia gari mpya aina ya Mercedes-benz G-wagon ambayo ni gari ya gharama sana na yathamani ambayo inauzwa kwa bei ya Dollar $139,900. Kwa pesa ya kitanzania inafikia mpaka Million 650Tz Shillings. đŸ”¥
VIDEO YA BLUEFACE AKIMZAWADIA BABY MAMA WAKE GARI AINA YA G-WAGON.
Picha ya rapper ‘blueface’ mpenzi wake ‘Jaidyn Alexis’ na mtoto wao Javaughn J. Porter

Gari aina ya Mercides Benz G-wagon Inayoghalimu pesa za marekani $139,900.






